Hebrews 8:7-8

7 aKwa maana kama hapakuwa na kasoro katika lile agano la kwanza, pasingekuwa na haja ya kutafuta nafasi kwa ajili ya jingine. 8 bLakini Mungu aliona kosa kwa watu, naye akasema: “Siku zinakuja, asema Bwana,
nitakapofanya agano jipya
na nyumba ya Israeli
na nyumba ya Yuda.
Copyright information for SwhKC